MODULI ZA KUJIFUNZIA
-VEGETABLE PRODUCTION BEGINNER-
Jisikie huru kuangalia kama mtalii au ikiwa una nia ya kupata cheti, jisajili kati ya mojawapo ya kozi zetu hapa chini ili kupata cheti cha kufuzu mafunzo
UZALISHAJI WA MAZAO
UZALISHAJI WA MAZAO
KINGA YA MAZAO
KINGA YA MAZAO
Programu ya Utoaji Cheti
Programu ya Utoaji Cheti
Programu au kozi za cheti zinaweza kukusaidia kukuza ustadi na uzoefu muhimu kwa kazi yako. Programu au kozi hizi zinaweza kuwa na faida kwako hata kama unaanza kazi au una uzoefu wa miaka mingi kazini.
Anayeanza kilimo/uzalishaji wa mboga (VPB)
Anayeanza kilimo/uzalishaji wa mboga (VPB)
Kujiunga na kupata cheti, unahitaji kujisajili kwanza.