VIDIO ZA KUJIFUNZIA

-WAKULIMA-

VIDIO/PICHA MJONGEO ZA MAZAO

Jifunze jinsi ya Upandaji na Ukuzaji Mazao kutoka kwa vidio za mafunzo hapa chini:

MAHINDI MATAMU/ LISHE

TANGO

PILIPILI HOHO

LUFFA

MAHARAGE MAREFU

BITTER GOURD

GILIGILANI

KAILAAN

BOGA

NYANYA

VIDIO ZA MASUALA YA KITAALAMU

Jifunze jinsi ya kutandaza mipira ya umwagiliaji kwa njia ya matone, unganisha kama inavyoelekeza kwenye vidio za kujifunzia hapa chini:

Tandaza na kuunganisha mfumo wa umwagiliaji kwa njia ya matone

Maandalizi ya Shamba kwa Kilimo

Tandaza na kuweka matandazo (asili au karatasi ya plastiki)

Funga na kuweka sawa ufungiaji wa neti ya mazao

Matumizi sahihi na salama ya viuatilifu

Uzalishaji na ukuzaji wa miche

Jinsi gani ya kupandikiza miche shambani?

Kuandaa mfumo wa udhibiti wa inzi wa matunda

Jinsi gani ya kutengeneza mbolea vunde?

Mfumo wa mifereji ya kutolea maji katika uzalishaji wa mboga

Jinsi ya kusafisha bomba baada ya kunyunyiza kiuatilifu

Muda wa kusubiri kabla ya kuvuna baada ya kunyunyiza kiuatilifu na muda wa kusubiri kuingia shabani baada ya kunyunyiza kiuatilifu

Jinsi ya kuandaa majani ya mrehani/basili katika kutengeneza kiuatilifu asili

MIKYTANO-MTANDAONI (WEBINA)